Friday, April 15, 2011

Mtemi Mkasiwa ( Ilagila)

Mtemi Mkasiwa alitawala kuanzia mwaka 1932 mpaka 1948 na utawala wake kudumu miaka 16. Huyu hakutaka kutawala ila alilazimishwa na ndio sababu ya kuitwa Mkasiwa. Pia huyu alikuwa ni mtu wa aina yake, kwani yeye alikuwa binti ya Mtemi kisha akaolewa na Mtemi Mkwawa na baadae akawa Mtemi wa Unyanyembe. 

3 comments:

 1. hebulete historia kamili ya mtemi mkasiwa, alivyoolewa urambo, alivyoozeshwa kwa mkwawa mpaka alipochukuwa utawala wa unyanyenyembe

  ReplyDelete
  Replies
  1. Nitaitafuta niiweke humu, samahani kwa kuchelewa kujibu comment yako

   Delete
 2. Kwa maana hiyo unyanyembe chiefdom kumeshawahi kua na mtemi mwanamke..?

  ReplyDelete