Friday, April 15, 2011

Mtemi Nyanso

Huyu baada ya Wajerumani kumuondoa Mtemi Isike ndipo akatawala yeye kuanzia mwaka 1893 mpaka mwaka 1896 ambapo aliugua na hatimaye kufa.
Stori zaidi kuhusu utawala wa Mtemi Nyanso ambaye ndiye alinusurika kuuawa na Mtemi Isike zitafuata

3 comments:

  1. Mwendelezo wa hizi stori lini?

    ReplyDelete
  2. Nafanya mawasiliano na Mtemi wa Unyanyembe ili anipe data juu ya Mtemi nyanso

    ReplyDelete